البلد   سورة  : Al-Balad


سورة Sura   البلد   Al-Balad
يَقُولُ يَا لَيْتَنِي قَدَّمْتُ لِحَيَاتِي (24) فَيَوْمَئِذٍ لَّا يُعَذِّبُ عَذَابَهُ أَحَدٌ (25) وَلَا يُوثِقُ وَثَاقَهُ أَحَدٌ (26) يَا أَيَّتُهَا النَّفْسُ الْمُطْمَئِنَّةُ (27) ارْجِعِي إِلَىٰ رَبِّكِ رَاضِيَةً مَّرْضِيَّةً (28) فَادْخُلِي فِي عِبَادِي (29) وَادْخُلِي جَنَّتِي (30)
البلد Al-Balad
لَا أُقْسِمُ بِهَٰذَا الْبَلَدِ (1) وَأَنتَ حِلٌّ بِهَٰذَا الْبَلَدِ (2) وَوَالِدٍ وَمَا وَلَدَ (3) لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ فِي كَبَدٍ (4) أَيَحْسَبُ أَن لَّن يَقْدِرَ عَلَيْهِ أَحَدٌ (5) يَقُولُ أَهْلَكْتُ مَالًا لُّبَدًا (6) أَيَحْسَبُ أَن لَّمْ يَرَهُ أَحَدٌ (7) أَلَمْ نَجْعَل لَّهُ عَيْنَيْنِ (8) وَلِسَانًا وَشَفَتَيْنِ (9) وَهَدَيْنَاهُ النَّجْدَيْنِ (10) فَلَا اقْتَحَمَ الْعَقَبَةَ (11) وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْعَقَبَةُ (12) فَكُّ رَقَبَةٍ (13) أَوْ إِطْعَامٌ فِي يَوْمٍ ذِي مَسْغَبَةٍ (14) يَتِيمًا ذَا مَقْرَبَةٍ (15) أَوْ مِسْكِينًا ذَا مَتْرَبَةٍ (16) ثُمَّ كَانَ مِنَ الَّذِينَ آمَنُوا وَتَوَاصَوْا بِالصَّبْرِ وَتَوَاصَوْا بِالْمَرْحَمَةِ (17) أُولَٰئِكَ أَصْحَابُ الْمَيْمَنَةِ (18) وَالَّذِينَ كَفَرُوا بِآيَاتِنَا هُمْ أَصْحَابُ الْمَشْأَمَةِ (19) عَلَيْهِمْ نَارٌ مُّؤْصَدَةٌ (20)
الصفحة Page 594
(24) Atasema: Laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu!
(25) Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake.
(26) Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake.
(27) Ewe nafsi iliyo tua!
(28) Rejea kwa Mola wako Mlezi umeridhika, na umemridhisha.
(29) Basi ingia miongoni mwa waja wangu,
(30) Na ingia katika Pepo yangu.
البلد Al-Balad
(1) Naapa kwa Mji huu!
(2) Nawe unaukaa Mji huu.
(3) Na naapa kwa mzazi na alicho kizaa.
(4) Hakika tumemuumba mtu katika taabu.
(5) Ati anadhani hapana yeyote ataye muweza?
(6) Anasema: Nimeteketeza chungu ya mali.
(7) Ati anadhani ya kuwa hapana yeyote anaye mwona?
(8) Kwani hatukumpa macho mawili?
(9) Na ulimi, na midomo miwili?
(10) Na tukambainishia zote njia mbili?
(11) Lakini hakujitoma kwenye njia ya vikwazo vya milimani.
(12) Na nini kitakujuvya ni nini njia ya vikwazo vya milimani?
(13) Kumkomboa mtumwa;
(14) Au kumlisha siku ya njaa
(15) Yatima aliye jamaa,
(16) Au masikini aliye vumbini.
(17) Tena awe miongoni mwa walio amini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana.
(18) Hao ndio watu wa kheri wa kuliani.
(19) Lakini walio zikataa Ishara zetu, hao ndio watu wa shari wa kushotoni.
(20) Juu yao utakuwa Moto ulio fungiwa kila upande.
 


اتصل بنا | الملكية الفكرية DCMA | سياسة الخصوصية | Privacy Policy | قيوم المستخدم

آيــــات - القرآن الكريم


© 2022