الأعلى   سورة  : Al-A'laa


سورة Sura   الأعلى   Al-A'laa
الطارق At-Taariq
وَالسَّمَاءِ وَالطَّارِقِ (1) وَمَا أَدْرَاكَ مَا الطَّارِقُ (2) النَّجْمُ الثَّاقِبُ (3) إِن كُلُّ نَفْسٍ لَّمَّا عَلَيْهَا حَافِظٌ (4) فَلْيَنظُرِ الْإِنسَانُ مِمَّ خُلِقَ (5) خُلِقَ مِن مَّاءٍ دَافِقٍ (6) يَخْرُجُ مِن بَيْنِ الصُّلْبِ وَالتَّرَائِبِ (7) إِنَّهُ عَلَىٰ رَجْعِهِ لَقَادِرٌ (8) يَوْمَ تُبْلَى السَّرَائِرُ (9) فَمَا لَهُ مِن قُوَّةٍ وَلَا نَاصِرٍ (10) وَالسَّمَاءِ ذَاتِ الرَّجْعِ (11) وَالْأَرْضِ ذَاتِ الصَّدْعِ (12) إِنَّهُ لَقَوْلٌ فَصْلٌ (13) وَمَا هُوَ بِالْهَزْلِ (14) إِنَّهُمْ يَكِيدُونَ كَيْدًا (15) وَأَكِيدُ كَيْدًا (16) فَمَهِّلِ الْكَافِرِينَ أَمْهِلْهُمْ رُوَيْدًا (17)
الأعلى Al-A'laa
سَبِّحِ اسْمَ رَبِّكَ الْأَعْلَى (1) الَّذِي خَلَقَ فَسَوَّىٰ (2) وَالَّذِي قَدَّرَ فَهَدَىٰ (3) وَالَّذِي أَخْرَجَ الْمَرْعَىٰ (4) فَجَعَلَهُ غُثَاءً أَحْوَىٰ (5) سَنُقْرِئُكَ فَلَا تَنسَىٰ (6) إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۚ إِنَّهُ يَعْلَمُ الْجَهْرَ وَمَا يَخْفَىٰ (7) وَنُيَسِّرُكَ لِلْيُسْرَىٰ (8) فَذَكِّرْ إِن نَّفَعَتِ الذِّكْرَىٰ (9) سَيَذَّكَّرُ مَن يَخْشَىٰ (10) وَيَتَجَنَّبُهَا الْأَشْقَى (11) الَّذِي يَصْلَى النَّارَ الْكُبْرَىٰ (12) ثُمَّ لَا يَمُوتُ فِيهَا وَلَا يَحْيَىٰ (13) قَدْ أَفْلَحَ مَن تَزَكَّىٰ (14) وَذَكَرَ اسْمَ رَبِّهِ فَصَلَّىٰ (15)
الصفحة Page 591
الطارق At-Taariq
(1) Naapa kwa mbingu na Kinacho kuja usiku!
(2) Na nini kitakacho kujuulisha ni nini hicho Kinacho kuja usiku?
(3) Ni Nyota yenye mwanga mkali.
(4) Hapana nafsi ila inayo mwangalizi.
(5) Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?
(6) Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
(7) Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
(8) Hakika Yeye ana uweza wa kumrudisha.
(9) Siku zitakapo dhihirishwa siri.
(10) Basi hatakuwa na nguvu wala msaidizi.
(11) Naapa kwa mbingu yenye marejeo!
(12) Na kwa ardhi inayo pasuka!
(13) Hakika hii ni kauli ya kupambanua.
(14) Wala si mzaha.
(15) Hakika wao wanapanga mpango.
(16) Na Mimi napanga mpango.
(17) Basi wape muhula makafiri - wape muhula pole pole.
الأعلى Al-A'laa
(1) Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa,
(2) Aliye umba, na akaweka sawa,
(3) Na ambaye amekadiria na akaongoa,
(4) Na aliye otesha malisho,
(5) Kisha akayafanya makavu, meusi.
(6) Tutakusomesha wala hutasahau,
(7) Ila akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana.
(8) Na tutakusahilishia yawe mepesi.
(9) Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa.
(10) Atakumbuka mwenye kuogopa.
(11) Na atajitenga mbali nayo mpotovu,
(12) Ambaye atauingia Moto mkubwa.
(13) Tena humo hatakufa wala hawi hai.
(14) Hakika amekwisha fanikiwa aliye jitakasa.
(15) Na akakumbuka jina la Mola wake Mlezi, na akasali.
 


اتصل بنا | الملكية الفكرية DCMA | سياسة الخصوصية | Privacy Policy | قيوم المستخدم

آيــــات - القرآن الكريم


© 2022