الناس   سورة  : An-Naas


سورة Sura   الناس   An-Naas
الصفحة Page 604
الإخلاص Al-Ikhlaas
(1) Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
(2) Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
(3) Hakuzaa wala hakuzaliwa.
(4) Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
الفلق Al-Falaq
(1) Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,
(2) Na shari ya alivyo viumba,
(3) Na shari ya giza la usiku liingiapo,
(4) Na shari ya wanao pulizia mafundoni,
(5) Na shari ya hasidi anapo husudu.
الناس An-Naas
(1) Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
(2) Mfalme wa wanaadamu,
(3) Mungu wa wanaadamu,
(4) Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
(5) Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,
(6) Kutokana na majini na wanaadamu.
 


اتصل بنا | الملكية الفكرية DCMA | سياسة الخصوصية | Privacy Policy | قيوم المستخدم

آيــــات - القرآن الكريم


© 2022