الرحمن   سورة  : Ar-Rahmaan


سورة Sura   الرحمن   Ar-Rahmaan
فِيهِمَا فَاكِهَةٌ وَنَخْلٌ وَرُمَّانٌ (68) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ (69) فِيهِنَّ خَيْرَاتٌ حِسَانٌ (70) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ (71) حُورٌ مَّقْصُورَاتٌ فِي الْخِيَامِ (72) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ (73) لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ (74) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ (75) مُتَّكِئِينَ عَلَىٰ رَفْرَفٍ خُضْرٍ وَعَبْقَرِيٍّ حِسَانٍ (76) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ (77) تَبَارَكَ اسْمُ رَبِّكَ ذِي الْجَلَالِ وَالْإِكْرَامِ (78)
الواقعة Al-Waaqia
إِذَا وَقَعَتِ الْوَاقِعَةُ (1) لَيْسَ لِوَقْعَتِهَا كَاذِبَةٌ (2) خَافِضَةٌ رَّافِعَةٌ (3) إِذَا رُجَّتِ الْأَرْضُ رَجًّا (4) وَبُسَّتِ الْجِبَالُ بَسًّا (5) فَكَانَتْ هَبَاءً مُّنبَثًّا (6) وَكُنتُمْ أَزْوَاجًا ثَلَاثَةً (7) فَأَصْحَابُ الْمَيْمَنَةِ مَا أَصْحَابُ الْمَيْمَنَةِ (8) وَأَصْحَابُ الْمَشْأَمَةِ مَا أَصْحَابُ الْمَشْأَمَةِ (9) وَالسَّابِقُونَ السَّابِقُونَ (10) أُولَٰئِكَ الْمُقَرَّبُونَ (11) فِي جَنَّاتِ النَّعِيمِ (12) ثُلَّةٌ مِّنَ الْأَوَّلِينَ (13) وَقَلِيلٌ مِّنَ الْآخِرِينَ (14) عَلَىٰ سُرُرٍ مَّوْضُونَةٍ (15) مُّتَّكِئِينَ عَلَيْهَا مُتَقَابِلِينَ (16)
الصفحة Page 534
(68) Imo humo miti ya matunda, na mitende na mikomamanga.
(69) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
(70) Humo wamo wanawake wema wazuri.
(71) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
(72) Wanawake wazuri wanao tawishwa katika makhema.
(73) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
(74) Hajawagusa mtu wala jini kabla yao.
(75) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
(76) Wameegemea juu ya matakia ya kijani na mazulia mazuri.
(77) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
(78) Limetukuka jina la Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu.
الواقعة Al-Waaqia
(1) Litakapo tukia hilo Tukio
(2) Hapana cha kukanusha kutukia kwake.
(3) Literemshalo linyanyualo,
(4) Itakapo tikiswa ardhi kwa mtikiso,
(5) Na milima itapo sagwasagwa,
(6) Iwe mavumbi yanayo peperushwa,
(7) Na nyinyi mtakuwa namna tatu:-
(8) Basi watakuwepo wa kuliani; je, ni wepi wa kuliani?
(9) Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni?
(10) Na wa mbele watakuwa mbele.
(11) Hao ndio watakao karibishwa
(12) Katika Bustani zenye neema.
(13) Fungu kubwa katika wa mwanzo,
(14) Na wachache katika wa mwisho.
(15) Watakuwa juu ya viti vya fakhari vilivyo tonewa.
(16) Wakiviegemea wakielekeana.
 


اتصل بنا | الملكية الفكرية DCMA | سياسة الخصوصية | Privacy Policy | قيوم المستخدم

آيــــات - القرآن الكريم


© 2022