الرحمن   سورة  : Ar-Rahmaan


سورة Sura   الرحمن   Ar-Rahmaan
وَمَا أَمْرُنَا إِلَّا وَاحِدَةٌ كَلَمْحٍ بِالْبَصَرِ (50) وَلَقَدْ أَهْلَكْنَا أَشْيَاعَكُمْ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ (51) وَكُلُّ شَيْءٍ فَعَلُوهُ فِي الزُّبُرِ (52) وَكُلُّ صَغِيرٍ وَكَبِيرٍ مُّسْتَطَرٌ (53) إِنَّ الْمُتَّقِينَ فِي جَنَّاتٍ وَنَهَرٍ (54) فِي مَقْعَدِ صِدْقٍ عِندَ مَلِيكٍ مُّقْتَدِرٍ (55)
الرحمن Ar-Rahmaan
الرَّحْمَٰنُ (1) عَلَّمَ الْقُرْآنَ (2) خَلَقَ الْإِنسَانَ (3) عَلَّمَهُ الْبَيَانَ (4) الشَّمْسُ وَالْقَمَرُ بِحُسْبَانٍ (5) وَالنَّجْمُ وَالشَّجَرُ يَسْجُدَانِ (6) وَالسَّمَاءَ رَفَعَهَا وَوَضَعَ الْمِيزَانَ (7) أَلَّا تَطْغَوْا فِي الْمِيزَانِ (8) وَأَقِيمُوا الْوَزْنَ بِالْقِسْطِ وَلَا تُخْسِرُوا الْمِيزَانَ (9) وَالْأَرْضَ وَضَعَهَا لِلْأَنَامِ (10) فِيهَا فَاكِهَةٌ وَالنَّخْلُ ذَاتُ الْأَكْمَامِ (11) وَالْحَبُّ ذُو الْعَصْفِ وَالرَّيْحَانُ (12) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ (13) خَلَقَ الْإِنسَانَ مِن صَلْصَالٍ كَالْفَخَّارِ (14) وَخَلَقَ الْجَانَّ مِن مَّارِجٍ مِّن نَّارٍ (15) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ (16)
الصفحة Page 531
(50) Na amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesa jicho.
(51) Na bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu. Lakini yupo anaye kumbuka?
(52) Na kila jambo walilo lifanya limo vitabuni.
(53) Na kila kidogo na kikubwa kimeandikwa.
(54) Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na mito.
(55) Katika makalio ya haki kwa Mfalme Mwenye uweza.
الرحمن Ar-Rahmaan
(1) Arrah'man, Mwingi wa Rehema
(2) Amefundisha Qur'ani.
(3) Amemuumba mwanaadamu,
(4) Akamfundisha kubaini.
(5) Jua na mwezi huenda kwa hisabu.
(6) Na mimea yenye kutambaa, na miti, inanyenyekea.
(7) Na mbingu ameziinua, na ameweka mizani,
(8) Ili msidhulumu katika mizani.
(9) Na wekeni mizani kwa haki, wala msipunje katika mizani.
(10) Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe.
(11) Humo yamo matunda na mitende yenye mafumba.
(12) Na nafaka zenye makapi, na rehani.
(13) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha
(14) Amemuumba mtu kwa udongo wa kinamo..
(15) Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto.
(16) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha
 


اتصل بنا | الملكية الفكرية DCMA | سياسة الخصوصية | Privacy Policy | قيوم المستخدم

آيــــات - القرآن الكريم


© 2022