المطففين   سورة  : Al-Mutaffifin


سورة Sura   المطففين   Al-Mutaffifin
الإنفطار Al-Infitaar
إِذَا السَّمَاءُ انفَطَرَتْ (1) وَإِذَا الْكَوَاكِبُ انتَثَرَتْ (2) وَإِذَا الْبِحَارُ فُجِّرَتْ (3) وَإِذَا الْقُبُورُ بُعْثِرَتْ (4) عَلِمَتْ نَفْسٌ مَّا قَدَّمَتْ وَأَخَّرَتْ (5) يَا أَيُّهَا الْإِنسَانُ مَا غَرَّكَ بِرَبِّكَ الْكَرِيمِ (6) الَّذِي خَلَقَكَ فَسَوَّاكَ فَعَدَلَكَ (7) فِي أَيِّ صُورَةٍ مَّا شَاءَ رَكَّبَكَ (8) كَلَّا بَلْ تُكَذِّبُونَ بِالدِّينِ (9) وَإِنَّ عَلَيْكُمْ لَحَافِظِينَ (10) كِرَامًا كَاتِبِينَ (11) يَعْلَمُونَ مَا تَفْعَلُونَ (12) إِنَّ الْأَبْرَارَ لَفِي نَعِيمٍ (13) وَإِنَّ الْفُجَّارَ لَفِي جَحِيمٍ (14) يَصْلَوْنَهَا يَوْمَ الدِّينِ (15) وَمَا هُمْ عَنْهَا بِغَائِبِينَ (16) وَمَا أَدْرَاكَ مَا يَوْمُ الدِّينِ (17) ثُمَّ مَا أَدْرَاكَ مَا يَوْمُ الدِّينِ (18) يَوْمَ لَا تَمْلِكُ نَفْسٌ لِّنَفْسٍ شَيْئًا ۖ وَالْأَمْرُ يَوْمَئِذٍ لِّلَّهِ (19)
المطففين Al-Mutaffifin
وَيْلٌ لِّلْمُطَفِّفِينَ (1) الَّذِينَ إِذَا اكْتَالُوا عَلَى النَّاسِ يَسْتَوْفُونَ (2) وَإِذَا كَالُوهُمْ أَو وَّزَنُوهُمْ يُخْسِرُونَ (3) أَلَا يَظُنُّ أُولَٰئِكَ أَنَّهُم مَّبْعُوثُونَ (4) لِيَوْمٍ عَظِيمٍ (5) يَوْمَ يَقُومُ النَّاسُ لِرَبِّ الْعَالَمِينَ (6)
الصفحة Page 587
الإنفطار Al-Infitaar
(1) Mbingu itapo chanika,
(2) Na nyota zitapo tawanyika,
(3) Na bahari zitakapo pasuliwa,
(4) Na makaburi yatapo fukuliwa,
(5) Hapo kila nafsi itajua ilicho tanguliza, na ilicho bakisha nyuma.
(6) Ewe mwanaadamu! Nini kilicho kughuri ukamwacha Mola wako Mlezi Mtukufu?
(7) Aliye kuumba, akakuweka sawa, akakunyoosha,
(8) Katika sura yoyote aliyo ipenda akakujenga.
(9) Sivyo hivyo! Bali nyinyi mnaikanusha Siku ya Malipo.
(10) Na hakika bila ya shaka wapo walinzi juu yenu,
(11) Waandishi wenye hishima,
(12) Wanayajua mnayo yatenda.
(13) Hakika wema bila ya shaka watakuwa katika neema,
(14) Na hakika waovu bila ya shaka watakuwa Motoni;
(15) Wataingia humo Siku ya Malipo.
(16) Na hawatoacha kuwamo humo.
(17) Na nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo ni siku gani?
(18) Tena nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo ni siku gani?
(19) Siku ambayo nafsi haitakuwa na madaraka yoyote juu ya nafsi; na amri yote siku hiyo ni ya Mwenyezi Mungu tu.
المطففين Al-Mutaffifin
(1) Ole wao hao wapunjao!
(2) Ambao wanapo jipimia kwa watu hudai watimiziwe.
(3) Na wao wanapo wapimia watu kwa kipimo au mizani hupunguza.
(4) Kwani hawadhani hao kwamba watafufuliwa
(5) Katika Siku iliyo kuu,
(6) Siku watapo msimamia watu Mola Mlezi wa walimwengu wote?
 


اتصل بنا | الملكية الفكرية DCMA | سياسة الخصوصية | Privacy Policy | قيوم المستخدم

آيــــات - القرآن الكريم


© 2022